News
Lebo ya Konde Gang Music Worldwide inayomilikiwa na msanii Harmonize imemsimamisha mwanamuziki wake Ibrahim Abdallah, kutoa ...
Bunge limeelezwa kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24, jumla ya watumishi 9,384 wa kada ya afya waliajiriwa na kupangiwa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya katika Halmashauri zote nchini.
Raia wa Togo kwa sasa wanazuiliwa na Ukraine.Walikamatwa na jeshi la Ukraine wakati wakishiriki katika operesheni za kijeshi pamoja na vikosi vya Urusi. Hali ya wasiwasi, kulingana na viongozi wa ...
Askari wa akiba wa Druze wametuma barua ya wazi kwa viongozi wa Israeli: "Mamia ya wapiganaji wa Druze wako tayari kujitolea mara moja kupigana pamoja na ndugu zetu nchini Syria," wanasema.
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inawategemea vijana katika kulijenga taifa, wengi wa vijana hao hufanya kazi katika mazingira yasiyo salama na kusababisha afya zao kuwa hatarini. Wafanyakazi ...
hiyo ndiyo sababu ya kumsimamisha. “Viongozi wa timu wameshampa barua ya kusimama kuitumikia timu, hatujui atasimama kwa muda gani,” alisema Mbuzi. Kocha mkuu wa timu hiyo, Robert Matano, akizungumza ...
Naibu Waziri huyo alitoa wito kwa jamii kuacha tabia ya kuwatumikisha watoto katika kazi za nyumbani, akisema kuwa watoto wote chini ya umri wa miaka 18 wanahitaji malezi bora na haki zao za msingi.
FTC imeiagiza kampuni kubwa ya utafutaji mtandaoni ya nchini Marekani ya Google kuacha vitendo ambavyo vinakiuka sheria ya ushindani. Hii ni mara ya kwanza kwa FTC kutoa agizo kama hilo kwa moja ...
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kusherehekea miaka 30 ya Beijing,Mongela amesema wamrudishe madarakani na wamdai ilani ya mpango kazi na maazimio ya Beijing ... Pia Mongella amesisitiza ...
Akieleza hatua walizochukua, Mwaluko amesema jana Aprili 14, 2025, wameiandikia TRC barua ya kuomba fedha kwa ajili ya kuondoa ... Sh60,000 na wengine wamelazimika kuacha kazi zao za ujenzi na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results