News

Hatimaye yuko huru. Ndiyo, msanii wa Bongo Fleva, Ibraah amemalizana na Konde Music Worldwide baada ya vuta nkuvute ya kutaka ...
HATIMAYE yuko huru. Ndiyo, msanii wa Bongo Fleva, Ibraah amemalizana na Konde Music Worldwide baada ya vuta nkuvute ya kutaka ...
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, ...
Bunge limeelezwa kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24, jumla ya watumishi 9,384 wa kada ya afya waliajiriwa na kupangiwa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya katika Halmashauri zote nchini.
Raia wa Togo kwa sasa wanazuiliwa na Ukraine.Walikamatwa na jeshi la Ukraine wakati wakishiriki katika operesheni za kijeshi pamoja na vikosi vya Urusi. Hali ya wasiwasi, kulingana na viongozi wa ...
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inawategemea vijana katika kulijenga taifa, wengi wa vijana hao hufanya kazi katika mazingira yasiyo salama na kusababisha afya zao kuwa hatarini. Wafanyakazi ...
MBUNGE wa Vunjo, Dk Charles Kimei (CCM) amehoji serikali akitaka kujua ina mpango gani wa kuboresha miundombinu ya masoko ya vijijini nchini, ikiwemo sakafu na paa. Serikali ikijibu imesema, imejenga ...
Taarifa hiyo imesema kuwa, wateja hao wameachishwa kazi bila kufuata taratibu ikiwemo kupewa haki ya kusikilizwa na kupewa adhabu ... kuwatumia wahusika," imesema taarifa hiyo. Barua hiyo imeitaka ...
aliwasiliana na Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kuomba kuondolewa kwa Tidjane Thiam kwenye orodha hiyo, akibaini kwamba yeye sio tena raia wa Côte d'Ivoire. CEI ilitupilia mbali madai ya mwombaji ...
Mongela amesema wamrudishe madarakani na wamdai ilani ya mpango kazi na maazimio ya Beijing. “Ninajivunia sana juzi nilikuwa nje ninaona kufanikiwa na kutoa ukakasi kuhusu Beijing kwasababu rais ni ...