News
Disemba 13, 1969 akapewa Daraja Takatifu ya Upadre. Kati ya mwaka 1970 hadi mwaka 1971 alikamilisha hatua ya tatu ya majiundo yake kama Mjesuiti huko Hispania na Aprili 22, 1973 akaweka Nadhiri za ...
KSA imeonya kwamba kitakuwa na madhara makubwa kwa maisha ya binadamu na wanyama na ni tishio kwa wanaoishi kwenye eneo ambapo msafara wa kifaa hicho utapitia. Mwaka jana, kifaa kingine kilianguka ...
Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ndiyo pekee iliyotenga fedha hizo, ambapo katika mwaka wa fedha 2022/23 ilitenga Sh60 milioni na Sh10 milioni kwa mwaka wa fedha 2023/24. Halmashauri nyingine ...
The annual PYA Ballard Innovation Award highlights early-stage companies that have a proven concept, demonstrated revenue and a drive to make meaningful change. This year’s finalists delivered ...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Facebook: https://www.facebook.com/nipashetz?mibextid=ZbWKwL , Youtube: https://youtube.com ...
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa, (NIDA) imesema itasitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya NIDA kuanzia Mei 1, mwaka huu, kwa wananchi wote waliotumiwa jumbe mfupi wa maneno ...
Alipata Shahada ya Sheria (LL.B) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnamo mwaka 1994, mojawapo ya taasisi kongwe na zenye heshima kubwa Afrika Mashariki. Hapa ndipo alipoweka msingi wa uelewa ...
Dar es Salaam. Benki ya NCBA Tanzania imehitimisha mwaka 2024 kwa mafanikio ya ukuaji na uthabiti, ikipata faida baada ya kodi ya Sh26 bilioni ikiwa ni ongezeko la asilimia 30 ikilinganishwa na mwaka ...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeitupa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka kupinga uamuzi wa Serikali kuwapa uraia wa Tanzania nyota watatu wa timu ya Singida Black Stars. Nyota hao ni ...
Idadi ya watu walionyongwa kote duniani iliongezeka hadi zaidi ya 1,500 mwaka wa 2024, hii ikiwa idadi ya juu zaidi kuwai kurekodiwa kulingana na ripoti ya shirika la Amnesty International.
Kama kila mwaka, Rais Paul Kagame - kiongozi wa Rwandan Patriotic Front (RPF) ambaye alipindua utawala wa Kihutu wa mauaji ya halaiki mnamo mwezi Julai 1994 na amekuwa shujaa wa nchi hiyo tangu ...
Leo ni Siku ya Afya Duniani ambayo mwaka huu inangazia suala muhimu kwa afya ya dunia, changamoto maalum wanazokumbana nazo wanawake na wasichana. Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results